Hamis Juma
JF-Expert Member
- Nov 4, 2011
- 2,229
- 2,272
Tuleteeni kwenye app hili bando...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi kwelikweli haya mashirika yetu ya umma.Hajasema ni pesa kiasi gani kwa bando hiyo. Halafu unafanyia nini dakika 5 siku 7?
Nenda kwenye menu yao ya T PESA kuna sehemu ya kununua bundles hyo ya tamtammbona hakuna hicho kifurushi kwenye menyu.
Ahsante sanaNenda kwenye menu yao ya T PESA kuna sehemu ya kununua bundles hyo ya tamtam
Napatikana maeneo ya sinza na zaidi huwa natumia bando la toboa (10gb per night). Huwa najikuta natumia gb chache wakati nikiwa maeneo kama kinondoni linaisha ndani ya masaa mawili tuPole kwa changamoto hiyo,tafadhali tufahamishe unapatikana maeneo gani ili tufuatilie na kutatua.
Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza.
Kwangu lagoma hili bundle...BANDO TAM TAM inakupa Dk 5 mitandao yote, SMS 100 na GB 1 kwa siku 7.
Kujiunga na kifurushi hiki piga *150*71# kisha chagua 3 Nunua Vifurushi kisha chagua BANDO TAM TAM.
Rudi Nyumbani Kumenoga.
Pole sana kwa changamoto hiyo.Mnaboa, nwdays mmekua wezi... Nimejiunga Bundle ya 10,000 imekaa wiki 1 tu sometimes hata wiki haifiki ni 4- 5days nikijiunga ya elfu 5 pia haikai... Sidownload Movies wala Apps, Wezi sana nyie wakati zamani my Bundle used to last 1 month. Naitupa line yenu soon.
Mnakimbilia kugawa gawiwo serikalini wakati mna matatizo makubwa ya kimtandao.CORPORATION Inakupa
1. Gb 4 kwa sh. 1000 tu masaa 24 ( Vigezo na masharti kuzingatiwa)
Menu ... Piga *148*30# chagua No. 5 TTCL BUNDLE THEN BANDIKA BANDUA.
2. Gb 10 kwa sh 1000 tu ( hichi ni kuanzia saa 6 usiku mpaka saa 12 asubuhi)
Menu
Piga *148*30# chagua No. 5 then TOBOA NIGHT PACK
3. Gb 1 dk 5 mitandao yote Sms 100 kwa sh 1000 tu Wiki
Menu
Piga *150*71# THEN No. 3 vocha na vifurushi chagua Bando Tam Tam ( Unajiunga kupitia T pesa).
4. i) Mb 500 , Dk 30 mitandao yote na SMS 100 kwa sh 1000.
Validity
Siku 5
ii) Mb 800 kwa sh 1000
Validity
Siku 5
iii) Dk 100 za kupiga CM kwenda mitandao yote kwa Sh. 1000 tu.
Menu
Weka vocha kwenye acc yako ya TTCL THEN Download Application ya TTCL HUDUMA ILIYOPO PLAY STORE CHAGUA OFA KABAMBE
Au
Weka Vocha kwenye line yako ya TTCL THEN tutumie namba tutakuunganisha.
5. MB 700 kwa sh 1000 wiki nzima
Menu
Piga *148*30# chagua No. 7 ofa maalum then Suka bundle No. 1
Na Vingine viiiiingi kabisa.
VIFURUSHI VYOTE HIVYO ANAJIUNGA MTU YEYOYE WAKATI WOWOTE MARA ZOTE ...
Hela yako tu.
Rudi Nyumbani Kumenoga.View attachment 1480508
Mnaboa, nwdays mmekua wezi... Nimejiunga Bundle ya 10,000 imekaa wiki 1 tu sometimes hata wiki haifiki ni 4- 5days nikijiunga ya elfu 5 pia haikai... Sidownload Movies wala Apps, Wezi sana nyie wakati zamani my Bundle used to last 1 month. Naitupa line yenu soon.
Name: TTCLMsaada kwa wanaotumia TTCL simcard na universal modem kwaajili ya internate, naomba mifahamishe setting zake ili kuunganishwa kwenye mtandao
Natumia TTCL simcard na airtelmodem ambayo nimeibadilisha kuwa universal with my lenovo desktop window 8.1 pro