TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Salaam. Tatizo kubwa kwangu, akatika kutumia TTCL ni kutokuwapo kwa mawimbi sehemu nyingi za Nchi yetu. Wilayani, Katani na Vijijini. Hivyo, kunilazimu niwe na akiba ua Laini kadhaa za Mitandao mingine kila ninaposafiri. Hujiuliza, Je! hamuwezi kushirikiana na Minara ya Mitandao mingine kueneza mtandao wenu.
 
Upatikanaji wa vocha ni changamoto kwa maeneo yaliyo pembeni ya mji
 
Pole sana mkuu
 
Yabidi aisee Mtani.

Japo ile siku huwaga simu naiweka mbali ambapo saa ingine nasaaugi hata wapi nimeweka mana naona itanitia stress. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

#thanks.

Usijali Mtani, ukiishika utazikuta taarifa zetu, maana kwa kifurushi hiki cha wiki cha TTCL lazima tukutumie mapicha mpaka ukome mwenyewe.

#thankstoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…