Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
Asante ila ni generally ni shidaPole sana mkuu.
Nilishawahi kuleta uzi humu nikilalamikia huduma mbovu za TTCL hata sijui nianzie wapi lakini mifano michache niliweka laini ya TTCL kwenye WiFI Access link yenye 25GB nikiwa town kabisa DSM- maeneo ya Victoria lakini sikuziona hizo 25GB nikaitupa line nikaendelea kutumia Voda au Airtel.TTCL hamna mipando endelevu na huduma zenu mmewalenga zaidi watu waishio kwenye miji tena si miji yote. Nimewahi kutumia Moderm ya TTCL ila usumbufu nilioupata wala sijui nilikoitupa. Ni aibu kuwa shirika la simu la Taifa!
HAWA JAMAA NI HOPELESS KABISA KARIBU HUDUMA ZOTE MBOVU.....HAWAKO SERIOUS .....NATAMANI HIZI HABARI ZIMFIKIE JPM ILI AWANYOOSHE MANAGEMENT NZIMATtcl nilidhani mlianzisha thread mkiwa mmejiandaa kujibu..mbona kimya? kwa nini internet yenu iko slow?
Kawaida yao kuweka post na kusepa. Huduma mbovu kila mahali.TTCL Customer Care nashauri msiweke post halafu mnapotea, ingekua vizuri muwe mnatoa majibu ya hizi comments.