TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Hawa jamaa bwana wana tamaa sasa nawaamini wajumbe, hamtoniangusha hawa ni kuwakata mchana kweupe
Nyumbani hakunogi tena, ngoja nitafute getto tu

SEMA wajumbe getto gani nzuri na Bei nafuu kwa uchumi huu wakati
 
Usihame tafadhali. Umepata tatizo lipi?
 
kwa siku moja mchana na usiku. hii nitasetia movies.
 
Hawa jamaa bwana wana tamaa sasa nawaamini wajumbe, hamtoniangusha hawa ni kuwakata mchana kweupe
Nyumbani hakunogi tena, ngoja nitafute getto tu

SEMA wajumbe getto gani nzuri na Bei nafuu kwa uchumi huu wakati
Halotel
 
Japo mtandao unasumbua sana na speed isiyoridhisha tulivumilia hivohivo kwa sababu ya unafuu, ila kitendo cha kubadilisha vifurushi vya data bila maboresho yoyote ya huduma, acha tuhamie kwengine. bye bye titisielo.
 
Kuwa mzalendo basi
 
Kuwa mzalendo basi
Nimekuwa mzalendo kwa miaka 4 tangu 2016, TTCL kama main ISP kwa 95% ya matumizi yangu yote, ila wao wameamua kuwa mabeberu, wacha nitafute size yangu kwenye hili soko huria, line inakaa kando siku mkirekebesha tutarejea.
 
Kwa nini mmeweka bei kubwa hivyo
Nahama bye bye tutarudi mambo yakikaa shwari ..
 
Habari za jioni wakuu,

Moja kwa moja kwenye mada, hivi karibuni TTCL wamefanya mabadiliko katika gharama za vifurushi kwa kupunguza dakika/sms/mb na kuongeza bei.

Naomba niwaulize TTCL, Hivi mshajiona mna market share kubwa sana hadi mfanye huu utopolo?

Asilimia kubwa ya waliojiunga na wanaojiunga TTCL ni kwasababu ya unafuu wa gharama. Wakati huo huo hao waliojiunga/wanaojiunga TTCL pia wana line za mitandao mingine.

Hiki mlichofanya TTCL kitawafanya wateja wenu wengi kurudi kutumia line zao za mwanzo kabla ya kujiunga nanyi (binafsi nimeacha rasmi leo kutumia TTCL). Kama mnaona wateja wanaongezeka, kulikuwa na haja gani ya kupunguza units za vifurushi na kuongeza bei?

Narudi kwa jirani nyumbani kumekuwa pachungu hapanogi tena!

Nawasilisha.
 
True Aisee, alafu kuanzia asubuhi net yao haiku bali kujiunga vifurushi kwa T pesa, wanaturudisha nyuma sana hawajui tuu, nadhani committee ya customer service iji tathmini upya, na huko kuongeza bei nadhani wajipe mda wa kuwaza mara 2, japo hatulazimishwi kutumia mtandao wa TTCL ila "it's not okay".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…