Mkogoti
TAPELI Mkubwa
- May 3, 2020
- 2,415
- 3,924
Mkuu labda wanajua leo ni ijumaa au jumamosi🤣🤣😅Tatizo TTCL sijui mnafeli wapi yani
Mnaanzisha Threads halafu tukichangia mnakula kona hamjui sisi ndo wateja wenyewe au tunataka kuwa wateja. Makampuni mengine vifurushi vya internet ni gharama nyie mnaonekana nafuu ila internet yenu inasumbua watu wanalalamika badala ya kutoa maelezo na ufafanuzi mnakimbia.
Halafu weekend ndo imeisha ndo mnaleta tangazo la kifurushi cha weekend😁😁. Sijui hizo Marketing zenu mlisomea Burundi au Korea ya Kaskazini??