TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Threads gani afisa habari wa idara ya serikali aliwahi kujibu kwa wakati maswali ya wadau?

Yaani bajeti yao inaisha pale anapotoa andiko tu, maswali yakielekea kupewa majibu mpaka aombe bajeti ipitiwe apewe ndipo aje ajibu 😷!.
 
Zantel 2000 kwa wiki dk 220 Huko nyumbani bado sana

Zantel hawana promo ila wako vema sana.
Bonga mwezi 👇
20200727_231343.png


Bonga 👇
20200727_231247.png


Bila kikomo👇
20200727_231424.png
 
Nimeweka vocha ya 1000, nataka kujiunga kifurushi cha toboa night, lakini naona kwenye "menu" yenu ya vifurushi vya internet hakuna "option" ya kujiunga na kifurushi cha toboa night. Nini tatizo, kifurushi kimefutwa ama?
 
Tuanze na kuweka vocha kwanza.. Ni kwaninj mpaka upige 100?!
 
Bundle la jiachie Siku hizi halipo kwa simu yangu kwa nini na mimi natumia kwa asilimia kubwa TTCL au nirudi zangu tigo
 
Nimeweka vocha ya 1000, nataka kujiunga kifurushi cha toboa night, lakini naona kwenye "menu" yenu ya vifurushi vya internet hakuna "option" ya kujiunga na kifurushi cha toboa night. Nini tatizo, kifurushi kimefutwa ama?
Lini hiyo?
 
Hawa jamaa washafeli kabisa.
Kile kifurushi cha mabaharia wenzangu cha TOBOA NIGHT hakipo tena.

Yaani watu tuliokuwa tunaopewa GB 2 kwa Tsh 500 kuanzia saa 6 usiku mpaka saa 12 asubuhi tutaisoma namba.

Pia tulikuwa tunapewa GB 10 kwa Tsh 1000 kuanzia saa 6 mpaka 12 asubuhi tumeula wa chuya.

Wajumbe wa TTCL wamefanya yao.

Tutaisoma namba wallah, sasa tutaanza kulala saa 2 kama wanafunzi wa shule za msingi badala ya kukesha.


Sumve 2015
Nyaku
TTCL Customer Care
 
Tatizo TTCL sijui mnafeli wapi yani

Mnaanzisha Threads halafu tukichangia mnakula kona hamjui sisi ndo wateja wenyewe au tunataka kuwa wateja. Makampuni mengine vifurushi vya internet ni gharama nyie mnaonekana nafuu ila internet yenu inasumbua watu wanalalamika badala ya kutoa maelezo na ufafanuzi mnakimbia.

Halafu weekend ndo imeisha ndo mnaleta tangazo la kifurushi cha weekend😁😁. Sijui hizo Marketing zenu mlisomea Burundi au Korea ya Kaskazini??
Mkuu mm mwenyw nimepewa tu tangazo ni post kwny mitandao mbalimbali.
Majibu ya maswali yenu wanayo managers wao hawapo humu,wapo twitter kwa trampo.

Kwaniaba.
 
Back
Top Bottom