Mtemi02
JF-Expert Member
- May 1, 2020
- 319
- 221
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha utani bhana uko mkoa gani maaana nimeunga bando la internet limeisha bila kutumia hata mb mojaNimerudi nyumbani lakini bundle la net la mchana linaisha kinoma hata kama unaperuzi tu.
mb 500 ndani yamasaa mawili tu bila kudownload sio fair kabisa.
ila mambo mengine mko vizuri
Namtumbo huku Hadi nimeshangaa Ila Kama unashusha movie au documents kubwa bora ujiunge like toboa pack kwa buku unapata 3.5 GB kuanzia saa 2.Acha utani bhana uko mkoa gani maaana nimeunga bando la internet limeisha bila kutumia hata mb moja
Ndo nililojiunga lakin mtandao unasoma ENamtumbo huku Hadi nimeshangaa Ila Kama unashusha movie au documents kubwa bora ujiunge like toboa pack kwa buku unapata 3.5 GB kuanzia saa 2.
Zantel 2000 kwa wiki dk 220 Huko nyumbani bado sana
Lini hiyo?Nimeweka vocha ya 1000, nataka kujiunga kifurushi cha toboa night, lakini naona kwenye "menu" yenu ya vifurushi vya internet hakuna "option" ya kujiunga na kifurushi cha toboa night. Nini tatizo, kifurushi kimefutwa ama?
Uamuzi ni wako kaka?bundle la jiachie Siku hizi halipo kwa simu yangu kwa nini na mimi natumia kwa asilimia kubwa TTCL au nirudi zangu tigo
Mkuu mm mwenyw nimepewa tu tangazo ni post kwny mitandao mbalimbali.Tatizo TTCL sijui mnafeli wapi yani
Mnaanzisha Threads halafu tukichangia mnakula kona hamjui sisi ndo wateja wenyewe au tunataka kuwa wateja. Makampuni mengine vifurushi vya internet ni gharama nyie mnaonekana nafuu ila internet yenu inasumbua watu wanalalamika badala ya kutoa maelezo na ufafanuzi mnakimbia.
Halafu weekend ndo imeisha ndo mnaleta tangazo la kifurushi cha weekend😁😁. Sijui hizo Marketing zenu mlisomea Burundi au Korea ya Kaskazini??