TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

It's Fun, lakini jamaa hawatufai kabisa.
 
Yaani nilidhani kuwa hilo ninaliona peke yangu


Mimi mwenyewe ninataka kuiweka line yao pending ... Yaani Taasisi ya serikali badala ya kuja na suluhisho la kuwasaidia wananchi Ajabu ndio kwanza wana wakandamiza ...
 
Spana zimekuwaa Konkiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ttcl kwa hivi vifurushi kwakweli mnatufukuza kabisa

Yaani kwa mwezi nilikua napata GB 4 Ila sasa GB 2, mtapoteza wateja wengi kwa staili hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…