TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Mtandao wenu sio mzuri.
Natumia 10mb kwa siku!
 
Threads gani afisa habari wa idara ya serikali aliwahi kujibu kwa wakati maswali ya wadau?

Yaani bajeti yao inaisha pale anapotoa andiko tu, maswali yakielekea kupewa majibu mpaka aombe bajeti ipitiwe apewe ndipo aje ajibu [emoji40]!.
Pole sana ndugu mteja.
Una tatizo lolote unalopata pindi unapotumia huduma za TTCL?
 
Mbona boom pack mmetoa 12gb mpk 7gb kwa 10,000 na 5gb mpk 3.5gb kwa 5,000?
Ndugu mteja wetu tuna vifurushi mbalimbali venye bei nafuu kulingana na matumizi ya mteja,piga *148*30# kisha chagua kifurushi ukipendacho.
Karibu sana
 
Nilikuwa naitafuta Toboa hapa. Naona wamenitoboa, 2500 kwa GB 9 wakati hapo ningepata GB 20+, mmekula ya mwisho hiyo mkuu. Yaani mnabadilisha vifurushi kienyeji tu. Hata mimi nawahama!
Siwezi kukesha bure leo!
Ndugu mteja wetu tuna vifurushi mbalimbali venye bei nafuu kulingana na matumizi ya mteja,piga *148*30# kisha chagua kifurushi ukipendacho.
Karibu sana
 
Asante mkuu japo niliwapigia wakaniambia kweli tatizo lipo na wanalishughulikia kesho yake nikawapigia tena wakasema tatizo lishatatiwa nikawaambia kwangu bado, yaani line nikiiweka kwenye simu imai set katika 3G inakubali ila nikiiweka kwenye 4G /router inakataa!
Asante kwa kuchagua TTCL na karibu tena.
 
Back
Top Bottom