TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Boom pack, kifurushi cha data naona tayari kimepanda, kutoka 2500 GB 3 hadi 3500 2.5GB.

Ngoja turudi kwingine kama hali ndo hii
IMG_20200804_092708.jpg
 
Zantel hawana promo ila wako vema sana.
Bonga mwezi 👇View attachment 1519070

Bonga 👇
View attachment 1519072

Bila kikomo👇
View attachment 1519068
Naam huku ndiko niliko sijawahi kujuta kuwa Zantel.

Plus MB zao unatumia kwa kujimwaga yani unagalagala Insta, Facebook, JF na Youtube bila kuhofia kuishiwa MB kabisa maana ni 1GB ya kikweli, sio zile 600MB zinazopewa TAG ya 1GB na mitandao mingine ya kijambazi! Unashangaa GB haimalizi lisaa ishakata 😂😂😂
 
Ndugu mteja wetu tuna vifurushi mbalimbali venye bei nafuu kulingana na matumizi ya mteja,piga *148*30# kisha chagua kifurushi ukipendacho.
Karibu sana

Jibu maswali kwa nini mmetoe vifurushi husika? Kama liko nje ya uwezo wako sema acha kuzunguka zunguka!
 
Nilikuwa naitafuta Toboa hapa. Naona wamenitoboa, 2500 kwa GB 9 wakati hapo ningepata GB 20+, mmekula ya mwisho hiyo mkuu. Yaani mnabadilisha vifurushi kienyeji tu. Hata mimi nawahama!
Siwezi kukesha bure leo!
Sa hivi tumebakiwa na halotel unlimited kukesha......!!!!
Jamaa wakiiondoa hiyo ndo basi tena kupakua mizigo mizito.
 
Ndugu mteja wetu tuna vifurushi mbalimbali venye bei nafuu kulingana na matumizi ya mteja,piga *148*30# kisha chagua kifurushi ukipendacho.
Karibu sana
Toboa tobo mmeiondoa hivyo tunahamia Halotel night offer unlimited usiku mzima nyie bakini na limtandao lenu.
 
Dunia inahama kwenye madakika, sipendi kupiga simu wala kupigiwa ikiwa sio suala muhimu... internet yatosha!
 
Weken data au mb, GB Za kutosha madakika zilipendwa ttcl mnatuangusha vijana
 
Jibu maswali kwa nini mmetoe vifurushi husika? Kama liko nje ya uwezo wako sema acha kuzunguka zunguka!
Hawajui hawa sie tulikimbilia kule kwaajili ya Bandika,toboa na boom pack .
Tendo la kuzivuruga na kuziondoa ofa zetu pendwa litawapoteza mazima
 
Back
Top Bottom