TTCL Customer Care
Official Account
- Aug 18, 2016
- 279
- 317
- Thread starter
-
- #1,081
Screenshot zingine zote haziload mzeeFurahia Vifurushi Bomba toka TTCL kwa gharama nafuuView attachment 1526663View attachment 1526668View attachment 1526666View attachment 1526667View attachment 1526664View attachment 1526665View attachment 1526669
Ndugu mteja,Mzee hivo vifurushi vyote unavyosemea mmetoa kweny menu yenu hakuna hata kimoja kinachopatikana since last week tatizo ni nini?
Nimejiunga hicho kifurushi. Nimedownload documents kibao na bado bando halijaisha.
Kwaheri voda na Airtel
Makalio ya Fisi TTCL nilijiunga nao kwa internet kwa siku 3 wamechukuwa 30,000 nimekwenda ofisini kwao hata kuelezea hawajui mbuzi mchuzi hao.Bundles za internet wanazo pia za KUTOSHA. Naipenda sana TTCL
Pole kwa tatizo, tunaomba utupatie namb yako kwa msaada zaidi.Makalio ya Fisi TTCL nilijiunga nao kwa internet kwa siku 3 wamechukuwa 30,000 nimekwenda ofisini kwao hata kuelezea hawajui mbuzi mchuzi hao.
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Wakulima na wafugaji ni 80% ya wananchi wote, kipaumbele kianzie kwao.Lini mtaanzisha kifurushi cha sisi wakulima na wafugaji?
Ilikuwa sio internet ya simu ni router ya nyumbani na simu yangu ya nini wakati nilikuja makao makuu ya ofisi yenu mkanizingua tu na majibu.Pole kwa tatizo, tunaomba utupatie namb yako kwa msaada zaidi.
Lakini wana 20% ya smartphones😉Wakulima na wafugaji ni 80% ya wananchi wote, kipaumbele kianzie kwao.
SeenRudisheni Night Pack bundle, boom pack data mmeongeza gharama zaidi kuliko hata washindani wenu. Nilirudi nyumbani lkn sasa sijihisi kuwa nyumbani tena. Nawatabiria anguko maana mmeamua kulihujumu shirika lenu wenyewe.