TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Kisomi zaidi.

Mwanachuo, anza wiki kwa kujiunga na Boom Pack, kifurushi nafuu kabisa chenye GB za kutosha. Ukiwa na Boom Pack, ni kicheko mwanzo mwisho!

34319468_10156523064622884_6463533100210061312_o.jpg
 
TTCL mlikuja vizuri hapo mwanzo, mkatuaminisha Watanzania turudi nyumbani kumenoga kwa vifurushi rafiki vilivyokua vinaendana na maisha ya sasa ya Mtanzania.

Hivi sasa mmegeuza gia angani mmebadirisha vifurushi, vilivyopo sasa ni vifurushi vya kinyonyaji sana, visivyoendana na ugumu wa maisha wa sasa wa Mtanzania.

TTCL mmeshakua wahuni tu.

Na nyumbani tunachoma nyumba tunaondoka haturudi ng'oo.
 
Back
Top Bottom