TTCL Customer Care
Official Account
- Aug 18, 2016
- 279
- 317
- Thread starter
- #1,201
Tunashukuru kwa ushauri wako. Ombi lako tunalifanyia kazi.Punguzen bei ya vifurushi amna utofaut na mashirika binafsi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunashukuru kwa ushauri wako. Ombi lako tunalifanyia kazi.Punguzen bei ya vifurushi amna utofaut na mashirika binafsi!
Samahani ndugu mteja, hilo tatizo limeanza lini?Service currently unavailable. Please try again later
Zinaisha fastaaaa tu kabla ya wiki coz matumiz ni mengi!3.5GB monthly kwa 5000?[emoji23]
Line yao nshaiweka kando...!Zinaisha fastaaaa tuu kabla ya wiki coz matumiz ni mengi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]TTCL mlikuja vizuri hapo mwanzo, mkatuaminisha Watanzania turudi nyumbani kumenoga kwa vifurushi rafiki vilivyokua vinaendana na maisha ya sasa ya Mtanzania...
Kwa hela kama hiyo halotel napata Gb 7 hawa jamaa hawajawahi kuwa serious3.5GB monthly kwa 5000?[emoji23]
Mimi hiyo menu ya 106 haijawahi kukubali,Samahani ndugu mteja, hilo tatizo limeanza lini?
Naomba namba yako tafadhaliMimi hiyo menu ya 106 haijawahi kukubali,
Pole na tatizo hilo mkuu, naomba unitumie namba yako kwa msaada zaidi.Mmenifungia laini yangu poa tu,nimehamia kwingine.endeleeni hivyo hivyo
Habari yako Mr. Kamugisha.Hawawezi kuja kujibu hoja za watu