TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Wakati nasajiliwa niliambiwa niweke kidole kwenye kitufe kuweka tu kakatoa mionzi nyekundu hivi hiyo mionzi haina madhara kweli? Tusije badilika homoni tukapata Kansas ya matiti
Hahaha kudadeki zako[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hao Halotel Nao Hovyo nje Ya Miji juna kijiji fulani wamekuja Wamesimika Mnara wao lakini upatikanaji wa mtandao ni Si internet wala kupiga simu, limnara lipo kama pambo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…