Johnny Sins
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 2,537
- 3,873
Wakifukuzwa nani atawalea wajukuu zao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakifukuzwa nani atawalea wajukuu zao?
Nasikia Mbao za Mawe alisaidiwaNakazia... hivi yupo aliyewahi kupiga simu customer care (huduma kwa wateja) akasaidiwa/akapokelewa?
Sent using Jamii Forums mobile app
*148*30# kisha INTANETI kisha chagua TOBOANajiungaje na hicho kifurushi
God doesn't require us to succeed,he only requires that you try
*148*30# Kisha TTCL BUNDLE kisha BANDIKA BANDUANajiungaje na hicho kifurushi
God doesn't require us to succeed,he only requires that you try
Hafi raha yaaniAirtel nawakubari ila vijijini hawana hata 3g. Yaani ni E kwa kwenda mbele
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mwendo wa E hadi raha yaaniAirtel nawakubari ila vijijini hawana hata 3g. Yaani ni E kwa kwenda mbele
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kutupa historia ya Bwana Mohammed Dau?
TTCL sio mtandao wa hovyo. U-hovyo unao wewe unayetumika kizembe. Yaani niiache TTCL niende Voda? Over my dead body!
Sent using Jamii Forums mobile app
@alfatvKipo Bora .kununua gb 1 kwa 2000 ukaitumia au ununua gb 5 kwa 500 ambayo Ni useless..ukijibu hapo utasaidia wengi
[emoji23][emoji23][emoji23]
Binafsi nilikua napata vizuri tu, lakini Sasa hivi, internet inapanda na kushuka nipo maeneo ya wilaya ya temeke, temeke yote usajili wa fingerprints hamna ukitaka nilazima uende Posta na kariakoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka sasa?TTCL kibaha haupati internet yoyote ile...
Hahaha kudadeki zako[emoji23][emoji23][emoji23]Wakati nasajiliwa niliambiwa niweke kidole kwenye kitufe kuweka tu kakatoa mionzi nyekundu hivi hiyo mionzi haina madhara kweli? Tusije badilika homoni tukapata Kansas ya matiti
[emoji23][emoji23][emoji23]Alisomea mtihani. Hakusoma ili aelewe
Mpaka hii leo?Inategemea ulipo mkuu. Huku Chamazi TTCL haipatikani
Dubwasha flani hivi linamilikiwa na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaTTCL ndiyo dubwasha gani?
Hao Halotel Nao Hovyo nje Ya Miji juna kijiji fulani wamekuja Wamesimika Mnara wao lakini upatikanaji wa mtandao ni Si internet wala kupiga simu, limnara lipo kama pambo tuObvious suala nitakalozungumzwa Pasi na shaka limezungumzwa na members hapo juu, Ila nitumie tu fursa hii kukazia maarifa, kiukweli TTCL ndio mtandao wangu kwa Mishe ya Internet na ninaenjoy vifurushi vyenu. Ila tatizo kubwa mpo tu katikati ya miji.
Napata shida sana nipokwenda nyumbani kusalimie huko Lindi vijijini.. Yaan ukianza kuiacha tu municipal ya Lindi basi mtandao unasepa mazima.
Nipo pale Nyangao - Lindi barabara kuu ya kuelekea Masasi District Ila mtandao hausomi kabisa.
Kwa nini wasiwe kama halotel ambao wanapatikana hadi remote area..?
Kuhusu suala la vocha za TTCL huwa siwazii, actually vocha zao ni adimu sana hata mijini Ila kwa kuwa kuna huduma ya T-Pesa hii ndo inanirahisishia sana, So naomba mlifanyie kazi hili.
Ni Mimi mteja wa TTCL kutoka NYANGAO-LINDI
[emoji23][emoji23][emoji23]kulaleki ndio kauli mbiu hiyo?
Hayo ndiyo maajabu ya ttcl,mie niko mjini,nikiwa home naona hadi minara yao, lkn youtube haifunguki,Watu hupenda kuongea vitu wasivyovijua mi nipo kijj ndani ndani voda haisomi kbsa ila baba lao ttcl naingia hadi YouTube