TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Ni sawa na TLP kwa CCM.
 
Mimi mwenyewe nawashangaa.
 
Hivi wafanyakazi wa TTCL huwa wanalipwa??

Make customer care mbovu, unaweza piga simu saa zima bila kupokelewa,... ubunifu zero, T-Pesa mizinguo balaaa.
Pole sana mjumbe, tuwape muda huenda mambo yatakaa sawa tu ili tuwahame mabeberu.

Rudi Nyumbani Kumenoga
 
Tangia mnikate hela yangu kwenye t-pesa..bila ridhaa yangu Sina haja Tena na kampuni yenu..laini nliitupa siku ile ile
 
Nitafuteni niwape wazo bomba la biashara ambalo hata vodacom hawana

Nakushauri; hiyo business plan ulonayo omba appointment kuonana na CEO na bainisha wazi DHIMA yako.

Utapata nafasi ya kufanya presentation, wazo lako likionekana ni productive am sure utapata nafasi na kuwa sehemu ya utekelezaji wake.

Na hii ndo njia ambayo wengi hujipatia ajira, kwa jina lingine unaweza kuiita "BUSINESS and MARKETING INTELLIGENCE" wengi hawajui ila waajiri wengi siku hizi wanatafuta watu wa CALIBRE hii wenye CONSTRUCTIVE IDEAS.

Chukua ushauri wangu na utakuja kunishukuru siku moja.

All the best
 
Nakazia
 
Tangia mnikate hela yangu kwenye t-pesa..bila ridhaa yangu Sina haja Tena na kampuni yenu..laini nliitupa siku ile ile
Lini umekatwa mkuu?
Unaweza kutupa namba yako kwa msaada zaidi.


#RudiNyumbaniKumenoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…