Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 9,679
- 39,087
Ni sawa na TLP kwa CCM.Ili iweje ?, wamekuja wenyewe na marketing kwamba wanazidi kuvuta wateja..., sasa hata kama kwenye marketing promo yao kuna mwanvuli wa competitor wao huoni kwamba either wana uwalakini au to say the least bado wana safari ndefu sana....., Yaani wamekosa hata mwanvuli wa kuzugia kupiga picha ?