TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Jamaa unajitahidi sana kujibu wadau lakini hauna suluhisho, log in kwa ID ya kampuni ili kuleta uzito wa hoja zako.
Mkuu, najaribu sana kuwasaidia wadau ili wapate wanachokitaka, mfano mtu analalamika katuma hela lakini haijafika hivyo mimi najaribu kuwasiliana na kule Makao Makuu ya TTCL na TTCL Customer Care lakini wao ndio wananiangusha mpaka muda mwingine nataka tamaa.
Naona ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa.
 

Nakuelewa vizuri mkuu, wala usijaribu kunipotosha katika hili... nasemajeeee log in kwa ID ya kampuni tujue moja.

Huyo TTCL Customer Care ni hovyo tu, wanapoteza wateja na kila siku wanalalamikiwa na hawajali... mishahara si ipo tu!!
 
Ongeza salio kwa urahisi zaidi kupitia Mawakala wetu ili uweze kufurahia huduma zetu.
# RudiNyumbaniKumenoga .
 
TTCL msipofanikiwa kujenga misingi madhubuti na kuwa a giant leading company kipindi hiki Cha JPM kifo kifuatacho hamtafufuka kamwe! Tumieni hii chance alowapa mzee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…