TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Yafungieni makampuni yote ya data mrudishe monopoly kama ilivyikuwa za vifurushi vitagombaniwa kama mpira wa kona
 
Watu wakitukana wanapigwa ban. Sasa ndio nini hiko mmeuliza na mnajua mlichokifanya.
 
Acheni unafiki nyie TTCL kiukweli line yanu naitumia kipokelea tu simu muda si mrefu naitupilia mbali. Hivyo vifurushi vyenu mnunue wenyewe pumbafu kabisa.
 
Huu siyo mtego wa panya??

Maana Kama huwa una-comment kule Jukwaa la Siasa negatively kwa chama pendwa, ukiitikia huu wito wa kwenda inbox hapa, inakula kwako mazima!!
 
Back
Top Bottom