Wordsworth
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,191
- 3,360
Eti maoni. Mtayachukua au ndo kuchorana tu hapa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa bei ya vifurushi hivi hamuwezi mkawa sio wanafiki kwa kuyutakia wateja wenu wikiendi njemaTTCL inawatakia wikiendi njema.
Ndo mabadiko hayo ambayo huwa yanafanywa pale inapoonekana inafaa....kwa bei hii ya vifurushiView attachment 1526911
Kuwa mzalendo mkuuHii kampuni ni kimeo sana sina hata hamu nao
Ndo mabadiko hayo ambayo huwa yanafanywa pale inapoonekana inafaa....Naona na nyie mmeamua kupandisha bei vifurushi vya internet. Ngoja tujaribu Airtel, nasikia wana 4G siku hizi.
Unataka huduma au msambwanda?Wadada watoa huduma kwenye haya maduka wana misambwanda?
Ndo mabadiko hayo ambayo huwa yanafanywa pale inapoonekana inafaa....Kwann kila mara mnapunguza mb katika boom pack?
Ndo mabadiko hayo ambayo huwa yanafanywa pale inapoonekana inafaa....Mbona gharama za vifurushi zimepanda mnooo!???
Dah, nani nyau?Hampo serious nyie watu....sijui mnachukua ushauri kutoka wapi yaan ata kifurush cha toboa night mmekiondoa,mkaona tunafaiiiidiiiii ny*u nyiee
Acha zako hizokwasababu tunatafuta gawio la kupeleka serikalini.
Mkuu hiyo ny*u au ko.nyo au?Hampo serious nyie watu....sijui mnachukua ushauri kutoka wapi yaan ata kifurush cha toboa night mmekiondoa,mkaona tunafaiiiidiiiii ny*u nyiee