TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Naamisha fedha toka t pesa kwenda majibu transaction imefail Kwa nini sasa na kuhamisha fedha toka t pesa kwenda bank mnakata bei gani
 
Hampo serious nyie watu....sijui mnachukua ushauri kutoka wapi yaan ata kifurush cha toboa night mmekiondoa,mkaona tunafaiiiidiiiii ny*u nyiee
Sababu ya kuondolewa kwa vifurushi vya TOBOA NIGHT na BANDO TAMTAM ni kuwa hivo vifurushi vimewaingizia hasara kubwa.
 
Shirika limeajiri vizee sijui mnakwama wapi mpaka mnapitwa na kampuni binafsi?
 
Shirika limeajiri vizee sijui mnakwama wapi mpaka mnapitwa na kampuni binafsi?
Wamefika retiring age? Tatizo ni umri au utendaji...., kuna jambo ambalo mzee atakuwa nalo ambalo kijana hawezi (nalo ni experience)..., Kwahio tupende kuangalia tatizo ni nini?, sio kutafutia sababu tatizo na kuleta justification ambazo kwakweli ni illogical
 
Msianze kutafuta mchawi hapa hili ni shirika la umma mnapaswa kuwa wabunifu kwa kutoa huduma za uhakika ili kuwavutia watu wengi.
 
Msianze kutafuta mchawi hapa hili ni shirika la umma mnapaswa kuwa wabunifu kwa kutoa huduma za uhakika ili kuwavutia watu wengi.
Wewe ndio unatafuta mchawi kwa kusema wanaajiri wazee, mimi sipo hio Kampuni kwahio ndio ninakuuliza wazee (nadhani hawajafikia retiring age ndio maana wapo hapo) kwa kuwafukuza hawa ndio kampuni itapata ufanisi ?, nimekupa faida moja ya wazee ya experience ambayo haina shortcut zaidi ya muda kwenye tasnia husika...

Pia, sidhani kama watu wengi watapenda mtandao sababu kuna vijana wengi wameajiriwa pale.., tatizo siasa zimekuwa nyingi kwenye mambo ya kitaaluma utasikia mara ohh usawa wa 50/50 kwa wanawake na wanaume nadhani kuna hili pia wazee wawapishe vijana...., what happened to kama una uwezo unao tu to matter your age, race or gender? Tunajenga Kampuni / nchi au tunatafuta wasafiri kwenye mashua ya Noah?
 
Nakifatilia muda sana huwa unawatetea mm najua ni sehemu ya staff ya TTCL.
Hili n shirika kongwe walipaswa kutoa huduma bora kuliko kampuni yoyote ya mawasiliano.
Hakika,
Najiuliza hili shirika na wafanya kazi wake hasa management huwa wanahudhuria vikao na wenzake?

Au wapo kwa ajili ya kula tu?
Maana shirika limedumaa,lina utapia mlo hatari, viongozi wapo tu.

Matokeo yake mitandao mingine tena kutoka nje wana operate na kukata pesa (vifurushi) za watumiaji wanavyotaka.

Mkurugenzi ondoka hutufai kutuongoza kwenye shirika hilo.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Rais pekee ndiye anayeweza kumfuta kazi, but not you.

But it is TRUE, wafanyakazi wengi pale wamefuata mishahara na sio kulipaisha na kulipa mafanikio shirika.
 
Kiukweli mumepoteza wateja wengi sana. Laini ya TTCL tulinunua Kwa ajili ya bando. Ila tokea mumepunguza bando. Mumenifany nifungie laini yenu. Bando ndogo na Data inayeyuk a fasta.
 
HIVI HUDUMA KWA WATEJA MBONA HAMTUHUDUMII KWA WAKATI?
YAANI MPAKA TUWAFUATE MITANDAONI TUFOKEANI HUKO PM WEEE NDIO KESHO YAKE ASUBUH UTASIKIA MNAPIGA SIMU NA KUANZA KUZUNGUMZA UTOPOLO TU. BADILIKENI NINYI OHOOOH!
Nyaku
 
maswali magumu afu munatupa majibu rahisi ....
anyway but sikutarajia kuona shirika la serikali linakuwa na gharama za juu kiasi hiki! afu mnatujibu mmeboresha na kutupa menu as if wajinga fulani hivi.
tunachotaka mrudishe vifurushi vile vya zaman otherwise haina ata haja ya kutumia Ttcl
 
na huduma mbovu zisizobadilika tangu enzi na enzi.
sijui mnakwama wapi si muuze tu shirika. nimechoka kuwashauri sasa bora niwaponde tu, maana mmekuwa toto korofi lisilosikia wala kujifunza
 
Bado hamjakaa kitaalamu TTCL Kuna vitu vidogo vidogo ambavyo Ni serious kwa wengine nyie hamvipi uzito kabisa
 
TTCL mliporud Internet ilikua nzuri ila tatizo likawa simkad kwenye kitochi hazisomi kwahiyo wengi walikua hawapat huduma yenu
Sasa simkad inasoma kwenye simu yoyote na tena usikivu ni mzuri kuliko wote ila tatizo limerudi upande wa Internet Kibaha inasoma 2G ukifika Mbez inasoma 3G na 4G inasoma kuanzia Ubungo kwenda mjin
Angalien tena kuna tatizo sehemu kama lile kubwa (simkad) lilokua linagusa watu weng mmelimaliza ili dogo haliwez kuwashinda
 
Tunaomba mnara wenu na huduma huku kwetu USHETU,KAHAMA.laini zenu zina expire bila kutumika
FB_IMG_16005873887809986.jpg
 
Back
Top Bottom