Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Baada ya kilio na lawama nyingi za watumiaji wa TTCL, TTCL imeamua kurejesha baadhi ya vifurushi.
Kifurushi kilichorejeshwa ni kile cha BANDO TAMTAM ila kwa sasa kinajulikana kama TAMTAM PLUS.
Kifurushi hiki kinapatikana kwenye menyu yetu ya T PESA *150*71#
Rudi Nyumbani Kumenoga
Kifurushi kilichorejeshwa ni kile cha BANDO TAMTAM ila kwa sasa kinajulikana kama TAMTAM PLUS.
Kifurushi hiki kinapatikana kwenye menyu yetu ya T PESA *150*71#
Rudi Nyumbani Kumenoga