PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Namimi nasubiri jibu katika hili swali umeuliza.Mkuu night bando wameludisha ama...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namimi nasubiri jibu katika hili swali umeuliza.Mkuu night bando wameludisha ama...
Basi si uendelee kutumiaMbona wapo vizuri tu.
kama wameludish naenda kutafuta line yanguNamimi nasubiri jibu katika hili swali umeuliza.
Wanapatikana nchi gani sasa?Mbona wapo vizuri tu.
TanzaniaWanapatikana nchi gani sasa?
Sio kweli mkuuUnaweza tumia MB 3 tu kati ya hiyo GB1.2 kwasababu ya speed. Nilivunja vunja simcard yao
Huo ni mtazamo wako.Mtandao ni vodacom tuu
Lipo siku zote ila bei ni 2500,day gb1,night gb9 kwnye bandika bandua sjui,vufurushi vyao majina sjui ya wapi hayaMkuu night bando wameludisha ama...
Ila makampun ya kibongo bana, sasa ukinipa GB9 usiku muda ambao natakiwa kulala si ni utapeli tu? Yani mchana ambako ndio nina uhuru wa kutumia bundle unanipa GB1 ila usiku nikilala unanipa 9GB so stupid.Lipo siku zote ila bei ni 2500,day gb1,night gb9 kwnye bandika bandua sjui,vufurushi vyao majina sjui ya wapi haya
mkuu nipe uzoefu wakoSpeed ya konokono.
Mtandao wao ni wa kiboya ssna, nishawapigia sana simu story ni zilezile nategemea kunako uhai mwaka kesho January nihamie HalotelJe Yaliyomo yamo?
Tatizo sio vifurushi tatizo kasi ya konokono.
Unaweza ukakuta hiyo 2GB huimalizi mpaka inaexpire.
Rekebisheni mtandao wa internet, mtu uko Dar mtandao kimeo,Karibu sana mkuu.
Ukipata tatizo pindi utumiapo huduma za TTCL usisahau kunijuza.