TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Unaweza tumia MB 3 tu kati ya hiyo GB1.2 kwasababu ya speed. Nilivunja vunja simcard yao
 
Bila mawakala wa TTCL PESA na kuchapisha vocha za vikaratasi

Bado sijaona mnachokifanya Apo ofsini.

Mmezidiwa na halotel,
Wamekuja juzi TU Ila mawakala Kila Kona, vocha zao zinapatikana kwa urahisi.

Kiukweli tunatamani tuwe wazalendo,
Ila mnatuangusha Sana.
 
Lipo siku zote ila bei ni 2500,day gb1,night gb9 kwnye bandika bandua sjui,vufurushi vyao majina sjui ya wapi haya
Ila makampun ya kibongo bana, sasa ukinipa GB9 usiku muda ambao natakiwa kulala si ni utapeli tu? Yani mchana ambako ndio nina uhuru wa kutumia bundle unanipa GB1 ila usiku nikilala unanipa 9GB so stupid.
 
Vifurushi vilivyozinduliwa ni


1.SIKU (MASAA 24)
Dakika 5(mitandao yote) SMS 30 na MB 600 kwa Tsh 500



2. SIKU 5
Dakika 10(Mitandao yote) SMS 50 na GB 1.2 kwa Tsh 1000




3.MWEZI (SIKU 30)
Dakika 20(mitandao yote), SMS 300 na GB 2.2 kwa Tsh 5000.




Kumbuka vifurushi hivi vinapatikana kwenye huduma ya T PESA.

#RudiNyumbaniKumenoga
















View attachment 1650949View attachment 1650951View attachment 1650950






 
Je Yaliyomo yamo?

Tatizo sio vifurushi tatizo kasi ya konokono.

Unaweza ukakuta hiyo 2GB huimalizi mpaka inaexpire.
Mtandao wao ni wa kiboya ssna, nishawapigia sana simu story ni zilezile nategemea kunako uhai mwaka kesho January nihamie Halotel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…