TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

TTCL katika huduma ya internet mnakwama ssna
 
With all resources you have mnashindwa kuwa na 3G ya uhakika? Shame shame shame!
 
TTCL kisomi zaidi.
Mwanachuo,anza wiki kwa kujiunga na Boom Pack,kifurushi nafuu kabisa chenye GB za kutosha. Ukiwa na Boom Pack, ni kicheko mwanzo mwisho!View attachment 1569434
Shida yangu ni kwenye downtime handling
1. Site zenu
2. E1 mlizowahi kukodisha kwa wengine
3. Power, tower space na ground space mlizowahi kikodisha kwa wengine....

Yaani mkizima nyie wengine wasahau... Mna mlolongo mrefu sana wa kusort issues kwenye site zenu na mlizopangine... HENCE WENGINE WALIAMUA KUJENGA BACKBORNE SITES ZAO TOKA DAR KWENDA MIKOANI...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…