Emmanuel Robinson
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 1,856
- 1,793
Pole sana kwa tatizo.Tangia mniunge kifurush ambacho sikuomba na hela yangu mkakata t-pesa Sina ham na nyie
TL sini Tundu LissuHiyo kitu nadhani mngeibadilisha maana kwa haraka haraka ikitamkwa inapelekea mawazo ya mteja kwenda tigo pesa,
Semeni hata TL PESA.

Mkuu, unapatikana sehemu gani ili tuweze kufuatilia na kutatua tatizo lako?Spidi mwendo wa kobe...
1.Wakala Kibaha Yuko sehemu gani?Mawakala wapo nyomi.
#RudiNyumbaniKumenoga
hamisha salio kutoka mpesa nunua bando la sivyo utatafuta vocha dailyHovyo sana..nimetafuta vocha zenu kimara nzima hakuna.
Ninayo tena nipo Mjini hapa Dar. Kuanzia saa 1 usiku speed ni GPRS sio 2G wala 3G.mkuu nipe uzoefu wako
Mnazindua mabando tu wakati bidhaa kama simu wireless za mezani hamna tunaambiwa stock imeisha.Vifurushi vilivyozinduliwa ni
1.SIKU (MASAA 24)
Dakika 5(mitandao yote) SMS 30 na MB 600 kwa Tsh 500
2. WIKI (SIKU 5)
Dakika 10(Mitandao yote) SMS 50 na GB 1.2 kwa Tsh 1000
3.MWEZI (SIKU 30)
Dakika 20(mitandao yote), SMS 300 na GB 2.2 kwa Tsh 5000.
Kumbuka vifurushi hivi vinapatikana kwenye huduma ya T PESA.
#RudiNyumbaniKumenoga
View attachment 1650949View attachment 1650951View attachment 1650950View attachment 1650952
Achana na kibaha huko ni mbali, muulize kuanzia kimara mwisho hadi mbezi kuna mawakala wangapi wa T pesa1.Wakala Kibaha Yuko sehemu gani?
2. Wiki Ina siku ngapi?
3. Niko na lain yenu njooni muichukue maana huku Misugusugu ttcl haipatikani.
Hawana miundombinu ya kutosha, wanafanya kazi kisiasa sana, wanategema miundo mbinu ya Tigo, hudima ya internet wananunua TigoTTCL tunataka sana kuwasapoti lakini bado mmeshindwa kuweka vifurushi rafiki.
Hapo kwenye Internet kununua/kumtegemea tigo napingana nawewe..Hawana miundombinu ya kutosha, wanafanya kazi kisiasa sana, wanategema miundo mbinu ya Tigo, hudima ya internet wananunua Tigo
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
What I know ni kuwa Tigo ananunua bandwidth kutoka TTCL. Ni vile tu TTCL hawako serious kwenye miundombinu yao, naamini kuna watu ndani wanaihujumu.Nilisajili hii line nikaweka bando la mwezi kufuka home haishiki, ilikula kwangu.
TTCL unapate faida ili hali, huduma ya Internet mnanunua bandwitch toka Tigo?
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Wananunua tena? me najua wao ndiyo kila kitu hadi mkonge wa taita wa mawasiliano ni wao!Nilisajili hii line nikaweka bando la mwezi kufuka home haishiki, ilikula kwangu.
TTCL unapate faida ili hali, huduma ya Internet mnanunua bandwitch toka Tigo?
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app