TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Vifurushi vilivyozinduliwa ni

1.SIKU (MASAA 24)
Dakika 5(mitandao yote) SMS 30 na MB 600 kwa Tsh 500

2. WIKI (SIKU 5)
Dakika 10(Mitandao yote) SMS 50 na GB 1.2 kwa Tsh 1000

3.MWEZI (SIKU 30)
Dakika 20(mitandao yote), SMS 300 na GB 2.2 kwa Tsh 5000.

Kumbuka vifurushi hivi vinapatikana kwenye huduma ya T PESA.

#RudiNyumbaniKumenoga

View attachment 1650949View attachment 1650951View attachment 1650950View attachment 1650952
Mnazindua mabando tu wakati bidhaa kama simu wireless za mezani hamna tunaambiwa stock imeisha.

Jipangeni vizuri kwanza.
 
1.Wakala Kibaha Yuko sehemu gani?
2. Wiki Ina siku ngapi?
3. Niko na lain yenu njooni muichukue maana huku Misugusugu ttcl haipatikani.
Achana na kibaha huko ni mbali, muulize kuanzia kimara mwisho hadi mbezi kuna mawakala wangapi wa T pesa
 
Nilisajili hii line nikaweka bando la mwezi kufuka home haishiki, ilikula kwangu.

TTCL unapate faida ili hali, huduma ya Internet mnanunua bandwitch toka Tigo?

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
What I know ni kuwa Tigo ananunua bandwidth kutoka TTCL. Ni vile tu TTCL hawako serious kwenye miundombinu yao, naamini kuna watu ndani wanaihujumu.
 
TTCL kuanzia mwezi wa 7 mmebadili mabando yenu, yamekuwa ghali kuliko hata ya akina Voda, Tigo, Halotel.

Mimi nilikuwa mtumiaji mzuri sana, lkn nilipoona mwanzo ilikuwa danganya toto nimeshaachana na nyie na nimerudi zangu voda.

Yani 5,000/= unanipa GB 2?[emoji23]. Hivi mnadhan tunatumia simu za 3G/2G? Tunamia 4G na soon tunaingia 5G.

Huduma zenu zimekaa utadhani bado tuko mwaka 2000 wakati now tuko 2020.

Screenshot_20201216-084808.jpg
 
Nilisajili hii line nikaweka bando la mwezi kufuka home haishiki, ilikula kwangu.

TTCL unapate faida ili hali, huduma ya Internet mnanunua bandwitch toka Tigo?

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Wananunua tena? me najua wao ndiyo kila kitu hadi mkonge wa taita wa mawasiliano ni wao!
 
Back
Top Bottom