TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Kipo cha BANDIKA BANDUA.
Bei ni Tsh 1,000 unapata GB 4.
MB 500 utatumia mpaka saa 5:59 usiku kisha kuanzia saa 6:00 usiku mpaka saa 12:00 utazimalizia GB 3.5
Asante mkuu,ila hii ni kwa watumiaji wadogo mimi hizo GB 3 nazikamua kwa nusu saa ni kiwa na 4g speed nilikuwa nauliza vifurushi vya usiku ambavyo ni unlimit ili nishushe hata gb 30 kulingana na mahitaji yangu
 
Tunashukuru kwa kutuandikia.
Tuna vifurushi mbalimbali kulingana na mahitaji ya mteja.Piga *148*30# kuchagua ukipendacho.
Sijakwambia kwamba sijui menu ya kujiunga vifurushi (natumia data only)

How unalipa tshs 5000 unajiunga kifurushi cha 8GB kwa wiki 3GB ndio za kutumia mchana then 5GB kuanzia saa sita usiku hadi alfajiri

So ni kwamba umeuziwa 3GB badala ya 8GB huo ni utapeli mkubwa

Msipoangalia hata hao wateja wachache mliokuwa nao watawakimbia.
 
Unaongea na customercare aibe wafanyakazi tigo au vodacom? Yaani kimisingi unamaanisha yeye atoke apishe hao
Nimemaanisha Wale Viongozi wa juu wa TTCL wafanye mkakati wa kuwachukua/kuwatafuta wale watu machachari walioko kwenye kampuni kubwa zingine TIGO Au VODACOM. Mfano meneja masoko wa TiGo Au mtu muhumu yeyote inaweza ikasaidia at least kuwawek kwenye truck , Maana TTCL ni ya Mwisho in terms of performance ya hizi kampuni za mawasiliano

Ni maoni yangu tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…