TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Sijakwambia kwamba sijui menu ya kujiunga vifurushi (natumia data only)

How unalipa tshs 5000 unajiunga kifurushi cha 8GB kwa wiki 3GB ndio za kutumia mchana then 5GB kuanzia saa sita usiku hadi alfajiri

So ni kwamba umeuziwa 3GB badala ya 8GB huo ni utapeli mkubwa

Msipoangalia hata hao wateja wachache mliokuwa nao watawakimbia.
Siwatetei TTCL
Lakini Malalamiko yako hayana mashiko kaka

Sasa hujazuiliwa kutumia hizo 5GB za usiku unasemaje umeuziwa 3GB badala ya 8GB ? ingekua huwezi ku'internet usiku Sawa wangekua wamekupiga lakini hawajakuzuia maskini ya Mungu [emoji23]
 
Since TTCL wamerudi nimekuwa loyal customer wao (natumia data nilinunua device yao Mi-Fi) hicho kifurushi hizo 5GB zilikuwa unaanza kuzitumia saa 4:00 usiku now wamezihamishia saa sita ni utapeli huo

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
 
Tatizo. Mnapatikana mijini tu hebu jisogezen vijijini mpate wateja
Mjini wapi? hapa maeneo ya Kambarage Tower , karibu na Ofisini kwao Dodoma Hotel huwezi kupata TTCL signals ...si data wala voice....sema ndiyo hivyo ni lazima kiserikali kuwa na line yao
 
[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]
 
Back
Top Bottom