TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Kuandika tu hamjui, hakika hamna mjualo... salaan ndo vijidudu gani?
Wanajua kuandika ila ni typing errors... Lakn hzo typing errors ni za kukosa umakini.

Utaandikaje kitu na kukipost moja kwa moja bila kupitia kusoma upya ndipo upost?

Huo ni ukosefu wa umakini.

TTCL Customer Care nipeni mimi uadmin hakika sitawaangusha.
 
Hongereni Sana kwa mabadiliko mliyofanya kwa mwaka uliopita,

Tunategemea mje na maboresho mengi zaidi hasa kasi ya internet na vifurushi vya internet.

Asanteni Sana na tuko pamoja katika ujenzi wa Taifa letu.
 
Asante kwa kuwa nasi kipindi chote cha nyuma, tunategemea kuwaletea huduma bora zaidi ndani ya mwaka huu #2021.
#RudiNyumbaniKumenogaView attachment 1664956
Sawa Lakini hakuna vifurushi vizuri vya TTCL-TTCL na wakati huohuo mitandao yote na Data.

Naipenda Sana TTCL mtandao wa Baba lakini hamjiongezi kabisa. Mfano Kuna mtandao unanipa Gb1 data, Dakika 15 mitandao yote na Dakika karibu 170 mtandao mmoja kwa 1500/Wiki.
TTCL fanyeni hivyo hivyo kwa 1500 lakini GB2 Dakika 15 mitandao yote na Dakika 💯 TTCL-TTCL.
 
Mashirika mengi ya Serikali yaani huduma mbovu (hovyo).

1.TTCL
2. NHIF
3. TANESCO
4. ATCL
 
Ttcl mna mambo ya ajabu utakuta umetuma pesa kny T-pesa na imekuletea msg kabisa salio limeingi,

unajiunga kifurusi cha ajabu unaambiwa huna salio, ukiwapigia customer care hakuna msaada wowote zaidi ya kuambiwa mpendwa mteja salio lako linaonekana halijafika, hali hii imenitokea kama x 3 hv,

mara ya mwisho mmeniibia elfu 11 kila nikiweka salio naambiwa sina salio, badilikeni japo kuwa tangu hiyo siku nimewahama.
 
Asante kwa kuwa nasi kipindi chote cha nyuma, tunategemea kuwaletea huduma bora zaidi ndani ya mwaka huu #2021.
#RudiNyumbaniKumenogaView attachment 1664956
Mbona mmepunguza kifurushi cha chuo? Ina maana wanachuo washakuwa uchumi wa kati? Badala ya kuwasaidia mnawanyonya
GB 3.5 kwa buku 5 badala ya GB 5
GB 7 kwa buku 10 badala ya GB 10-12
 
Ttcl mna mambo ya ajabu utakuta umetuma pesa kny T-pesa na imekuletea msg kabisa salio limeingi,

unajiunga kifurusi cha ajabu unaambiwa huna salio, ukiwapigia customer care hakuna msaada wowote zaidi ya kuambiwa mpendwa mteja salio lako linaonekana halijafika, hali hii imenitokea kama x 3 hv,

mara ya mwisho mmeniibia elfu 11 kila nikiweka salio naambiwa sina salio, badilikeni japo kuwa tangu hiyo siku nimewahama.
NiPM namba yako ya TTCL kwa maaada zaidi.
Pole kwa tatizo lililotokea.
#RudiNyumbaniKumenoga
 
TANGAZO MUHIMU

136693786_391930991871882_1300248091050098108_n.jpg
 
Back
Top Bottom