Ni maboresho ya kuunga juhudi usiumize kichwa sana ingekuwa maboresho ya kuleta 3G ya uhakika maana 4G sijui wataleta mwaka gani basi ungeumia kichwaBila kusema "KUUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI YA AWAMU YA TANO" tangazo halikamiliki?
Mngejua ni jinsi gani hatuipendi hiyo "AWAMU" wala msingeitaja!
Unapatikana wapi?Vocha za TTCL ni shida kupatikana mtaani.
Unataka umtumie vocha? Ukweli ni kwamba vocha zao hazijasambaa kama ilivyo mitandao mingine hasa mikoani unakuta halmashauri moja mpaka mbili wanategemea sehemu mojaUnapatikana wapi?
AiseeUnataka umtumie vocha? Ukweli ni kwamba vocha zao hazijasambaa kama ilivyo mitandao mingine hasa mikoani unakuta halmashauri moja mpaka mbili wanategemea sehemu moja
Jana nimgehangaika wee kununua kifurushi kupitia mpesa, tigopesa, Airtel money hola, kumbe tatizo ni lenu....kwanini hamyumi meseji kwa Kika mteja?Vocha za TTCL ni shida kupatikana mtaani.
Hapa walikosea Sana.Mlikuja vizuri ila mahali mkaharibu kisa mnataka mapato sawa na mitandao mingine