TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Hivi night bundle mmeirudisha au niendelee na plan ya kutupa laini yenu?
 
Tangazo linatolewa USIKU wa tarehe husika? Manake leo ni tarehe 8 yenyewe tena bado dakika chache tarehe ibadilike iwe tarehe 9

Mie nadhani matangazo kama haya yanatakiwa kutolewa kabla ya siku husika.

Kweli bongo bahati mbaya
 
Labda msubiri niwekewe kitanzi ndio ninunue line ya TTCL. Tangazo muhimu halafu linatolewa wakati tukio linaendelea[emoji852][emoji852][emoji852][emoji852]

Darlin
 
Mattercore sana nyie, shulen mlikua mnasoma au mnajisomea?????
 
Bila kusema "KUUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI YA AWAMU YA TANO" tangazo halikamiliki?

Mngejua ni jinsi gani hatuipendi hiyo "AWAMU" wala msingeitaja!
Ni maboresho ya kuunga juhudi usiumize kichwa sana ingekuwa maboresho ya kuleta 3G ya uhakika maana 4G sijui wataleta mwaka gani basi ungeumia kichwa
 
Back
Top Bottom