TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Hao watumishi ni pamoja na wale walokole wanaotumia muda wao mwingi kanisani? Maana nao wamezoeleka kuitwa na kuitana kwa jina la mtumishi.
 
CORPORATION Inakupa
1. Gb 4 kwa sh. 1000 tu masaa 24 ( Vigezo na masharti kuzingatiwa)
Menu ... Piga *148*30# chagua No. 5 TTCL BUNDLE THEN BANDIKA BANDUA.

2. Gb 10 kwa sh 1000 tu ( hichi ni kuanzia saa 6 usiku mpaka saa 12 asubuhi)
Menu
Piga *148*30# chagua No. 5 then TOBOA NIGHT PACK


3. Gb 1 dk 5 mitandao yote Sms 100 kwa sh 1000 tu Wiki
Menu
Piga *150*71# THEN No. 3 vocha na vifurushi chagua Bando Tam Tam ( Unajiunga kupitia T pesa).

4. i) Mb 500 , Dk 30 mitandao yote na SMS 100 kwa sh 1000.
Validity
Siku 5
ii) Mb 800 kwa sh 1000
Validity
Siku 5

iii) Dk 100 za kupiga CM kwenda mitandao yote kwa Sh. 1000 tu.
Menu
Weka vocha kwenye acc yako ya TTCL THEN Download Application ya TTCL HUDUMA ILIYOPO PLAY STORE CHAGUA OFA KABAMBE
Au
Weka Vocha kwenye line yako ya TTCL THEN tutumie namba tutakuunganisha.

5. MB 700 kwa sh 1000 wiki nzima
Menu
Piga *148*30# chagua No. 7 ofa maalum then Suka bundle No. 1
Na Vingine viiiiingi kabisa.
VIFURUSHI VYOTE HIVYO ANAJIUNGA MTU YEYOYE WAKATI WOWOTE MARA ZOTE ...
Hela yako tu.


Rudi Nyumbani Kumenoga.
61975977_464231481071000_4915463798233497600_o.jpg
 
BANDO TAM TAM inakupa Dk 5 mitandao yote, SMS 100 na GB 1 kwa siku 7.

Kujiunga na kifurushi hiki piga *150*71# kisha chagua 3 Nunua Vifurushi kisha chagua BANDO TAM TAM.

Rudi Nyumbani Kumenoga.

IMG_20200617_222208_098.jpg
 
Mkuu@TTCL custome care, naomba msaada ,simu yangu iliharibika nikaiweka ndani kwa muda wa mwezi na nusu, nimepata simu mpya naweka voucher imekataa, napiga customer care wananijibu kwamba nimevuka kiwango cha malipo ya simu. Anastahili kufanya je ili niwezie kutumia lakini yangu tena
 
Back
Top Bottom