BASANORARE
JF-Expert Member
- Feb 6, 2013
- 309
- 256
Internet inasima E Tunduru but masasi unasoma 3G rekebisheni mtandao sehemu za mangaka na tunduru
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ee ase napata usumbufu sana hasa pale bundle linapokata ghaflaWaweke kwenye menu ya kawaida ili usitumie T-pesa?
Si uzitajeLaiti kama mngekuwa mnatumia mtandao wenu basi mngezijua kero pasipo hata kutuuliza wadau, maana ni nyingi tena za wazi wazi...
Kiufupi Kampuni yote iko hovyo hakuna cha uafadhali...
Hii kitu ilinitokea siku hiyo hiyo nikatupa Laini yao.1. Poor customer service ( ham respond kwa wakati inaweza chukua hata lisaa sim zenu zinaita na hazipokelewe )
2. T pesa watoa huduma ndio hawajui wanachokifanya nilishawahi nunua kifurushi kupitia tpesa mpaka leo sikuwahi kuona kifurush nilichonunua kama miez 2 imepita.
3 Internet yenu sasa ivi kama inazidiwa mara yakwanza wateja walipokuwa wachache kifurush cha toboa night speed nikubwa sasa ivi ukijiunga mpaka uamke saa 10 au 11 asubuhi ndio kidogo utafanya mambo mawili matatu
swali.
Ivi hao watoa huduma wenu wanafanya kazi masaa 12 au vipi maana ukipiga simu zenu usiku ndio hata hakuna anayetaka kuipokea
Rudi Nyumbani KumenogaNimejiunga hicho kifurushi. Nimedownload documents kibao na bado bando halijaisha.
Kwaheri voda na Airtel
Pole sanaHii kitu ilinitokea siku hiyo hiyo nikatupa Laini yao.
Kwanza Vocha hazipatikani... Nikaamua kuhamisha Salio toka MPesa kwenda TPesa ili ninunue Kifurushi.... Nikajiunga sikupata kifurushi na Salio wamekata.
Nikaamua kutupa Laini Chooni kabisa.
TTCl zingatieni Haya mnayo ambiwa hapaI think TTCL ndio kampuni ya Serikali ambayo haijali watu wake wa chini kabisa,
Wanafunzi wana kifurushi Chao cha unafuu
Wafanyakazi wana kifurushi chao cha unafuu
But wale watu wa chini kabisa wakulima na watu ambao hawana kazi hawana kifurushi chao cha nafuu
Yaani mfano: mfanyakazi na mwanafunzi wanaweza kulipa Elf moja wakapata Gb1 but mtu ambae sio mfanyakazi wala mwanafunzi akilipa hiyo Elf 1 anapata 500M
Nipo DAR, Kawe Beach upeponi, sms zenu ni kero, mna support less than 160 charactersHabari ya jioni,
Ndugu mteja tunaomba utufahamishe changamoto unayoipata pindi umapotumia mtandao wetu wa TTCL.
MUHIMU
1. Kumbuka kutaja eneo ulilopo.
2. Aina ya tatizo.
NB: Kama una mapendekezo ya vifurushi na pia maoni kuhusu huduma zetu unakaribishwa.
Rudi Nyumbani Kumenoga.
Duuuh,, hao Halotel hamna kitu kabisa,, at least VodacomMnabewa sana na serikali lakini hamfai kabisa, poor service, poor network, poor poor poor hata Halotel wamewashinda