TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Naam huku ndiko niliko sijawahi kujuta kuwa Zantel.

Plus MB zao unatumia kwa kujimwaga yani unagalagala Insta, Facebook, JF na Youtube bila kuhofia kuishiwa MB kabisa maana ni 1GB ya kikweli, sio zile 600MB zinazopewa TAG ya 1GB na mitandao mingine ya kijambazi! Unashangaa GB haimalizi lisaa ishakata 😂😂😂

zantel internet kwa week wana options zipi. nimetoa ttcl natafuta pa kuhamia.
 
Threads gani afisa habari wa idara ya serikali aliwahi kujibu kwa wakati maswali ya wadau?

Yaani bajeti yao inaisha pale anapotoa andiko tu, maswali yakielekea kupewa majibu mpaka aombe bajeti ipitiwe apewe ndipo aje ajibu [emoji40]!.
Mbona amejibu
 
Ilikuwa sio internet ya simu ni router ya nyumbani na simu yangu ya nini wakati nilikuja makao makuu ya ofisi yenu mkanizingua tu na majibu.


Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Tulia basi uhudumiwe, mbona unaleta fujo kama kibaka
 
Back
Top Bottom