Buza Kwa Mpalange
JF-Expert Member
- Apr 15, 2020
- 268
- 156
Nendeni zenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utaula wa chuya kubabaeNiliomba ruhusa kutumia laini zaidi ya moja kwa njia ya simu ikazingua nikatoka nikaenda mjini ttcl shop hawana hiyo huduma
Utaula wa chuya mkuukwa hiyo nyie mnajali watumishi tu...acheni ubaguzi wa kimatabaka. mnalipwa mishahara kutokana na kodi za watanzania wote na siyo watumishi pekee. ingawa mimi ni myumishi lakini sipendi mnavyoleta ubaguzi...kama mnataka kuendeleza kampuni yenu offer toeni kwa wanavyo tu wengine wote tufurahie huduma kama kawaida