TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Zifuatazo ni ofisi zetu za huduma kwa wateja ndani ya jiji la Dar es Salaam.

1. POSTA
[emoji654][emoji654][emoji654]Mtaa wa Samora, jengo la Extelecom ghorofa la Chini.

2. KARIAKOO
[emoji654][emoji654][emoji654]Mtaa wa Makamba/Msimbazi, jengo la Akamba Bus Service.

3. UPANGA
[emoji654][emoji654][emoji654]Mtaa wa Magole/Maliki, karibu na Diamond Jubilee.

4. MAGOMENI
[emoji654][emoji654][emoji654]Mtaa wa Minaki/Fundiki, karibu na Manispaa ya Kinondoni.

5. KIJITONYAMA
[emoji654][emoji654][emoji654]Kijitonyama Sayansi, barabara ya Ali Hassan Mwinyi/ Rose Garden.

6. OYSTERBAY
[emoji654][emoji654][emoji654]Barabara ya Haile Selassie.

7. UBUNGO
[emoji654][emoji654][emoji654]Jengo la Ubungo Plaza/ Ghorofa la chini.

8. MBEZI BEACH
[emoji654][emoji654][emoji654]Mbezi Makonde/ Jengo la Shamo Tower.

9. TABATA
[emoji654][emoji654][emoji654]Tabata Bima, barabara ya Segerea karibu na kanisa la Romani Katoliki.

10. CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM.
[emoji654][emoji654][emoji654]Jirani na tawi la benki ya NBC, jirani na kilipo kituo cha polisi cha UDSM.

11. BARABARA YA PUGU
[emoji654][emoji654][emoji654]Barabara ya Mwalimu Nyerere, karibu na Sigara.

12. WAGENI
[emoji654][emoji654][emoji654]Uwanja wa ndege.

13. PUGU
[emoji654][emoji654][emoji654]Jengo la Quality Centre, ghorofa la chini.

14. KISUTU
[emoji654][emoji654][emoji654]Mtaa wa Mchafukoge/Libya jengo la Haad Plaza.

15. TEGETA SHOP
[emoji654][emoji654][emoji654]Jengo la Kibo Complex, ghorofa la chini.

16. MWANANYAMALA SHOP
[emoji654][emoji654][emoji654]Mwananyamala A, barabara ya Mwinjuma yalipo makutano ya Mwananyamala A.

17. KURASINI
[emoji654][emoji654][emoji654]Kurasini Exchange Area, jirani na Chuo cha Diplomasia.

Wasiliana nasi:
[emoji337]022 210 0100
[emoji390] 0738 151 511
[emoji273]www.ttcl.co.tz

#RudiNyumbaniKumenoga
View attachment 1529645
 
Mnakwama wapi?
Hata heading mnashindwa kuiweka vizuri?
Angalau mngeandika (TTCL HUDUMA KWA WATEJA)
 
Hata heading inawashinda!

Natumia ttcl almost mwaka wa pili sasa

Ila hii sasa imetosha hamna namna inabidi niachane nayo tu

Kwanza vifurusho mnapunguza kiholela tu hovyo hovyo tu

Kibaya zaidi mmeanza wizi wa kijinga na kipumbavu kabisa

Imekuwa mtu akiweka salio kabla hajajiunga kifurushi mnakata pesa fasta

Mnakata pesa kama 12 au 15 pesa ambayo kiuhalisia inakutia hasara kwa sababu huwezi kujiunga tena mpaka uongeze salio

Mmeluwa mkikata kwangu mpaka jana ilikuwa mara ya tatu nikiwapigia mnarudisha

Limtandao muda mwingi li-bovi na la hovyo.
 
Kifurushi cha bando tamtam kilichozinduliwa kwa mbwembwe hakipo wakati kinazinduliwa kulikuwa na shamrashamra mpaka watu wakaalikwa ila wakati wa kuondolewa kimetoka kimyakimya hii ttcl inaendeshwa kisanii
 
Back
Top Bottom