Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,808
- 6,934
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Piece of shit networkView attachment 1538584
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Piece of shit networkView attachment 1538584
Hakuna kitu... Kwa sasa 4G inapatikana ukiwa katikati ya jiji.. ukiwa nje ya jiji labda buza mbagala, mkuranga hakuna kitu.. mtandao unasoma E..ikijitahidi sana ni H.... inakera sana..badilikeni..Mkuu, maboresho ya intaneti zanazidi kuendelea ili muweze kupata spidi ya 4.5G.
Rudi Nyumbani Kumenoga
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu.Mkuu, najaribu sana kuwasaidia wadau ili wapate wanachokitaka, mfano mtu analalamika katuma hela lakini haijafika hivyo mimi najaribu kuwasiliana na kule Makao Makuu ya TTCL na TTCL Customer Care lakini wao ndio wananiangusha mpaka muda mwingine nataka tamaa.
Naona ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa.
Pole sana mkuu.Mkuu.
Mimi pia nimeshapoteza pesa, nilinunua vocha from Tigo Pesa to TTCL eeh, ilikua ya 10,000/ mpaka Leo huwa ni story tuu nikaona nitemane nao..
Sawa rais wa Tabata baracuda tumesikia kilio chako.Hakuna kitu... Kwa sasa 4G inapatikana ukiwa katikati ya jiji.. ukiwa nje ya jiji labda buza mbagala, mkuranga hakuna kitu.. mtandao unasoma E..ikijitahidi sana ni H.... inakera sana..badilikeni..
Naomba unitumie namba yako ambayo unayosema imefungiwa ni muhimu sana mkuu.Nipo Goba Mkuu.
0738151510 ni hiyo mkuuNaomba unitumie namba yako ambayo unayosema imefungiwa ni muhimu sana mkuu.
0738151510 ni hiyo mkuuNaomba unitumie namba yako ambayo unayosema imefungiwa ni muhimu sana mkuu.
Shukrani sana mkuu0738151510 ni hiyo mkuu
Poa MkuuShukrani sana mkuu
Hakika nyumbani kumenoga.TTCL kifurushi cha internet GB 5 kwa Mwezi Sh 10000
Vodacom kifurushi cha internet GB 7 kwa mwezi Sh 10000
"Rudi nyumbani kumenoga "
Kila kitu kitakuwa sawa tu mkuu.Kubadiri vifurushi.. itawakosti sana sana..
Mmenikera mno