TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Tatizo huduma zenu zipo mijini tu yan huku vjijin wala hakuna network mnatiwa gepu kubwa na hawa halotel waliokuja juzi juzi,Halotel network yao inapatikana hadi huku chaka hebu tanueni wigo wa mtandao wenu,hiwezekan kilomita 600 kutoka Dar network hakuna,hili ni shirika la taifa la mawasiliano hebu lipeni hadhi basi.All in all hongereni na hilo bando lenu jipya.
 
Hata baadhi ya sehemu za mjini ukishakuwa mbali na Barabara, mfano huku uswahilin kutoka Barabara kubwa kama Kawawa na Morogoro road ukizid kuingia uswahilin network yao mbovu. Pia maeneo ya Kigogo Luhanga kutoka Barabara kubwa pia network yao hovyo sana. Kwahiyo nadhan itakuwa vizur zaid kama mtaimarisha network yenu pia mijin.
 
😀😀😀ila we jamaa unachekesha sana kama huwezi kujibu ni vyena kukaa kimya. Wameulizwa coverage ipoje wamepiga kimya kazi tu kutoa pole
Ndugu mteja, kipindi naanza kutumia mtandao wa TTCL network ilikuwa haipatikani hapa Buza.
Nikawasiliana na uongozi wao, asubuhi nakuta nimeumiwa ujumbe wakiniuliza kuhusu tatizo baada ya kuwaeleza wakasema upo sehemu gani?
Nikawaambia Buza, wananiambia subiri baada ya dakika 5.
Baada ya dakika 5 wananitafuta wakaniambia angalia network kama ipo sawa.
Kudadeki kitu kilikuwa kinasoma H+ ikipungua sana mwisho ni 3G.

Hivyo basi TTCL Customer Care wakikuuliZa unapatikana wapi?
Ujue wanataka wajue tatizo linalokukabili na kulifuatilia ili walitatue.

TTCL anafanya ROAMING kwenye minara ya Tigo
 
😀😀😀 thank you for your amazing stoy but no thanks.
 
Juzi juzi tu nimeitupa line baada ya kukaa nayo siku 3.
1. Network slow sana.
2. Huwezi itumia line kwenye kitochi. Inafanya kazi kwenye smartphone tu.
 
Kwa nini nikiwasha data kama natumia line yenu inaweza kuchukua hata masaa mawili kuconnect mbinu mnazidiwa mpaka na halotel watoto wa juzi

Tatizo liko wapi kwenye huduma za serikali hii ya CCM habu eti fukiria nyie ndio mnategemewa mshindane kwenye soko moja na Voda, Airtel, na tigo

Huduma yenu labda muwashinikize wafungwa na misukule kule gamboshi ndio watakaoweza kuitumia ila kwa sisi kwenye akili zetu

#Mtasubiri sana
#Tena sana

TTCL tatizo ni kubwa kuliko wengi tunavyoliona na watu wengi walishashauri kuwa wafanye "Shut down" kwanza ya uongozi pale juu kabisa halafu isukwe team ya kiushindani kibiashara na waweke pembeni siasa zao za " RUDI NYUMBANI KUMENOGA" hapo ndipo TTCL itanoga na watakuwa na bei ya chini kwa sababu tayari miundo mbinu mingi wanayo na wataweza kufikia watu wengi kwa wakati mmoja
 
Fafanua mkuu ili tuyashughulikie
JISOTI #kutokanyumbani TTCL Corporation
Piga *148*30#
Chagua namba 6 Ofa Maalum
Halafu no2 jisoti chagua Gb au Dk mitandao yote
#RudiNyumbaniKumenoga

Image may contain: 1 person, standing

Image may contain: text that says '4G LIE TTCι Corporation Data Siku 3 Siku 5 Siku Jisoti Ofa 3GB: kila siku 1GB 5GB: kila siku 1GB Gharama 3,000.00 5,000.00 Bonasi 300MB 500MB Gharama 1,000.00 2,000.00 Bonasi 10 Dk 30 Dk Dakika Siku Ofa 3 Siku 60 Dk: kila siku 20 Dk Siku 125 Dk: kila siku 25 Dk Vigezo na Masharti Mteja hawezi kujiunga zaidi ya mara moja kwa kifurushi kimoja. Mteja atapewa Kiwango cha ujazo kama ilivyoonyeshwa kwenye jedwali. Huduma hii inapatikana kwa wateja wa malipo ya kabla tu. ttcl corporation Kujiunga Piga *148*30# kisha Chagua Ofa Maalum Rudi Nyumbani Kumenoga''4G LIE TTCι Corporation Data Siku 3 Siku 5 Siku Jisoti Ofa 3GB: kila siku 1GB 5GB: kila siku 1GB Gharama 3,000.00 5,000.00 Bonasi 300MB 500MB Gharama 1,000.00 2,000.00 Bonasi 10 Dk 30 Dk Dakika Siku Ofa 3 Siku 60 Dk: kila siku 20 Dk Siku 125 Dk: kila siku 25 Dk Vigezo na Masharti Mteja hawezi kujiunga zaidi ya mara moja kwa kifurushi kimoja. Mteja atapewa Kiwango cha ujazo kama ilivyoonyeshwa kwenye jedwali. Huduma hii inapatikana kwa wateja wa malipo ya kabla tu. ttcl corporation Kujiunga Piga *148*30# kisha Chagua Ofa Maalum Rudi Nyumbani Kumenoga'

Image may contain: 1 person, text that says '4G LTE TTCι Corporation Jisoti Kujiunga Piga * 48* 30# kisha Chagua Ofa Maalum Kwa maelezo zaidi piga 00 0222 100 100 autembelea www.ttcl. I.co.tz ttcl_corporation Rudi Nyumbani Kumenoga''4G LTE TTCι Corporation Jisoti Kujiunga Piga * 48* 30# kisha Chagua Ofa Maalum Kwa maelezo zaidi piga 00 0222 100 100 autembelea www.ttcl. I.co.tz ttcl_corporation Rudi Nyumbani Kumenoga'
Salio unaangaliaje?
Siku inaanzia muda unajiunga au siku ya kalenda?
 
Back
Top Bottom