Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyumbani kumechachaJiachie bila kikomo kwa Buku tu.View attachment 1710115
Jamani sasa mnaweka huyumama hapa hizo MB 200 zote si zitaishia kumtazama yeye😂😅😆 !!!! Kuweni waungwana basiOngea,Peruzi na chati bila kikomo na Jiachie bando
# RudiNyumbaniKumenogaView attachment 1710124
[emoji23][emoji23][emoji23]Jiachie bila kikomo kwa Buku tu.View attachment 1710115
Hebu wekeni T-Connect Plus ya mwezi inayoleta mantiki hata kama ni equivalent to weekly bundle manake ni ujinga kifurushi cha wiki kuwa Sh.10,000 kwa GB10 halafu kifurushi cha mwezi kuwa Sh 70,000 GB40 au eti GB15 kwa Sh 30,000. Matokeo yake, mnatusumbua wateja kwa sababu hakuna mwehu anayetumia pesa yake ya mfukoni atakayejiunga kifurushi cha GB 40 kwa Sh 70,000 wakati anajua akiwa ananunua in weekly basis atalipa Sh 40,000 badala ya 70K.Jiachie bila kikomo kwa Buku tu.View attachment 1710115
Habari, Ahsante kwa kuwasiliana nasi.Tunaomba kufahamu unapatikana eneo lipi kwa msaada zaidi.Maeneo ninayokaaa network yenu haishiki hata kidogo ni mwendo wa no service tu.