TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Kufika saa kumi na mbili jioni muwe mmeirudisha option ya kununua bando kwenye TPESA vinginevyo nawapeleka TCRA tena kwa mikono yangu mwenyewe
 
Siyo kweli asubuhi niliona ila sasa hivi ukiingia kwenye menu ya Tpesa hamna option ya kununua vifurushi ambako ndio unapata bando tamtam customer care wanadai bado mnafanya mabadiliko
 
Taratibu. Tunatafuta kasi iyo. Mafuta, sukari na huduma za kila siku za walala hoi
Mbele kwa mama tena
IMG-20210403-WA0002.jpg
 
Back
Top Bottom