TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Raia stress all over wamepata kwa kuzitolea wanazimwaga tu.

Anyway si ndiyo point ya biashara huria sasa?
 
TTCL BWANA,TUNAWAPENDA ILA SIJUI MNAFELI WAPI.

Tatzo nadhani ni management iliyokosa vision na isiyoendana na ushindani wa soko unao endana na washindani wao.

inaonyesha hawana target, na kwamba mnunue huduma zao msinunue, mishahara yao ipo palepale.
 
Hakuna kipindi cha zamani weka screenshot hapa
IMG_20210407_120046.jpg
 
Duh hivi mtandao huu wakizenji bala bado upo?
Yaani upo sana mkuu, mimi siuachi labda niache hiyo mingine

Mfano hawa jamaa wakikukopesha 1000 utalipa hiyo hiyo 1000 siku ukitaka kulipa na hawana riba.
 
ttcl wapuuzi tu waliweka 1.2 GB kwa buk alafu kifurushi hakifai kujinga leo wanaleta habari za 1GB kwa 2000
 
Hii kampuni ibinafsishwe kabisa me nilitegemea 500 kwa GB1 halafu kwa kasi ya 5G, internet mbovu, gharama juu huduma mbaya,
 
Mtoa hoja hauko makini,hili ulilolifanya si lakutangazia sisi,hebu angalia Halotel ,sh1000 napata GB 1 na dk 100,wewe unaleta habari za 1 GB for 2000,

Kajipange
 
Tunapenda kuomba radhi wateja wetu kwa usumbufu uliojitokeza kutokana na kukatika katika mara kwa mara kwa huduma zetu za mawasiliano na T PESA siku ya tarehe 06/04/2021.

Hali hii imetokana na zoezi la kuboresha mtandao wa TTCL upande wa huduma ya T PESA ambalo tulikuwa tunalifanya jana na ambalo tumelikamilisha kwa ufanisi.

Lengo la maboresho haya ni kuendelea kukupa we we mteja wetu huduma za viwango vya juu unavyostahili.

JamiiForums-1175423954_640x640.jpg
 
Back
Top Bottom