TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Bado ghali tena ukizingatia ni mtandao wa serikali uliopaswa kutoa huduma bila kujikita kutengeneza faida. Mitandao mingine vifurushi vya chuo 2000 ni 1.7GB siku3. Ambapo kwa 10,000 napata 8.5GB
 
TTCL wangempa mafuru awe director,, mafuru yule aliipaishaga vodacom kipindi akiwa marketing manager wao,,
Au mchechu yule alikua NHC
Umesahau kuna mkali mwingine mawasiliano ALLY maswanywa amefanya kazi miaka 10 Airtel mwanza kama msimizi mkuu kwa kanda ya ziwa na badae tigo hata aliwahi kuteliwa na marehem magufuli kuwa mkuu wa (w) songwe hawawajuzi Sana hata sokon wanakwenda sio unaishia Kula kiyoyozi na kupikiwa taarifa za sokon
 
Ndugu mteja,

Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?..
TTCL Customer Care ivi huu ujinga mmeanza lini, gb moja kuisha kwa nusu saa, bla kaz yyte ya maana kwel???..mnatukera sana tena Sanaa, mtoke huko maofisin Kama hamuwez kazi, haiwezkan gb moja ishindwe kukaa ata lisaa, ni utapeli na UJINGA wa hali ya juu..NA muendele ivoivo muone miaka miwil ijayo itakua wap...mmenikera sana
 
@TTCL Customer Care ivi huu ujinga mmeanza lini, gb moja kuisha kwa nusu saa, bla kaz yyte ya maana kwel???..mnatukera sana tena Sanaa, mtoke huko maofisin Kama hamuwez kazi, haiwezkan gb moja ishindwe kukaa ata lisaa, ni utapeli na UJINGA wa hali ya juu..NA muendele ivoivo muone miaka miwil ijayo itakua wap...mmenikera sana
@TTCL Customer Care
 
Kwa ttcl bado mna kazi kubwa ya kuboresha huduma kwa ujumla wake kuanzia kwenye team za mauzo bado mnaurasim mkubwa hata kwa team zenu sitaki kuamini eti mna ofisi za huduma kwa wateja Hadi vijijini hao watumishi wenu mgewapa malengo ya kila mwezi kuhakikisha eneo analolisimamia linakuwa na huduma zenu zinapatika kwa urahisi ukiacha ofisi ilioko mkoani ndo akapate huduma ofisi mmeweka nyinyi Zaid dar na dodoma walipo viongozi wenu mikoan ni zero kabisa viongozi wa ttcl mpaka msikie waziri wa masiliano atakuwa mkoa furani mnakusanya mafile ya kuja kumdanganya waziri wakati sokoni vocha hakuna kabisa na washauri Tu bord ya ttcl muwe mnatembelea vijijini kuona upatikanaji wa huduma kwa ttcl wananchi sio kupokea taarifa za mezani na kugawina makarasi kibao ambayo hayana maana kwa watumiaji wa mawasiliano ya sim float ya ttcl inapatikana bank mjini wakala anaefanya biashara na nyinyi kila siku awe anachoma nauli kwenda bank kufata float bank kweli? Ttcl ni wakongwe kwenye mawasiliano ila bado hajajua mini mnatakiwa kufanya ila kwenye majungu tu miongoni mwenu mko vizuri
 
UZINDUZI WA T-PESA APP:

T-PESA yazindua huduma ya T-PESA App ikiwa ni katika kuendelea kurahisisha upatikanaji wa huduma mbalimbali za kifedha. Sasa ni rahisi na Salama ukiwa na T-PESA App. #NafuunaSalama
#RudiNyumbaniKumenoga

FB_IMG_16358596267200104.jpg


FB_IMG_16358596064237032.jpg


FB_IMG_16358596366290249.jpg
 
Watatumia misukule sio sisi binadamu huru

Endeleeni kuchoma pesa za walipakodi na hayo maujinga yenu

Ngoja tuone ni mara ngapi itadownloadiwa huko playstore ama mtapika data
 
Back
Top Bottom