The lastborn9319
JF-Expert Member
- Oct 30, 2021
- 852
- 1,745
Siku hizi mitandao ya simu yooote ni ya kihuni tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ziko uhindini, mkabala na posta, pembeni mwa maktaba ya mkoa, karibu na ofisi za Jiji.Mbeya ofisi napata wapi?
Mkuu, mbona imekataa?Restart
Piga *150*71#
Chagua namba 7
Kisha chagua namba 2(Transfer to wallet)
Kisha utachagua namba 1(Customer wallet)
Kisha chagua namba 3(Agent Wallet)
Ingiza kiasi
Kisha malizia kwa kuingiza neno siri yako ya T PESA.
#RudiNyumbaniKumenoga
[emoji848][emoji848][emoji848]Mkuu, mbona imekataa?
Mimi niseme tu kwakweli TTCL Mungu aendelee kuwaweka juu na juu zaidi maana nawaelewa sana katika mfumo wa T-Pesa.
Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
Ttcl, je naweza kumtumia mtu mtandao mwingine salio langu la TTCL?
Ama naweza kumnunulia mtu wa mtandao mwingine kifurushi kutoka kwenye salio langu la laini ya ttcl?