James Hadley Chase
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 1,984
- 3,695
Haya majinu yenu haya yatawakosti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshangaa Sana mmkuanzia leo MB 1 ni Tshs 2.5 so uki-calculate kwa GB 1 ni Tshs 2560
Hamia burundi babu umealzimishwa kutumia huu mtandaoMtandao wa massage za kuuliza Salio za vifurushi haziruddi Kwa muda hili limekia tatizo kwangu Kwa muda Sasa yangu nianze kutumia ttcl unauliza Salio la kifurushi lakini mrejesho unachelewa au unakuja lakini unakuja aidha wakitambo Sana au unachelewa Sana ni mara chache unafika Kwa muda Niko mwanza nyasaka
Kwa nini mmeongeZA BEI VIFURUSHI???
lilishajibiwaga humuMtandao wa TTCL ni mzuri ila swali langu kwanini matapeli wengi wanatumia namba za TTCL .? Jaribuni kuangalia mfumo wenu mtusaidie maana mpaka kero
Asante sana kwa ujumbe wako.
#RudiNyumbaniKumenoga
OktobaVifaaa, Vinaingia lini mje mtufungie huduma, maana ni muda mrefu tumekaa tunawasubiri.
Kuanzia Oktoba Mosi ni uhakika ndugu.Internet ya Fiber kupitia mfumo wa TANESCO, Arusha mnaanza lini jamani?
Nimejiandikisha toka aug 1 2022 kupata internet ya fiber lakini mpaka leo sijapata mawasiliano yeyoteKuanzia Oktoba Mosi ni uhakika ndugu.
#RudiNyumbaniKumenoga
Pole sana kwa changamoto hiyo, unaweza kuwasilian ana Installer huyu 0655858588 atafuka mpaka hapo ulipo kwa ajili ya kukufikishia huduma ya Fiber.Nimejiandikisha toka aug 1 2022 kupata internet ya fiber lakini mpaka leo sijapata mawasiliano yeyote
Niko maeneo ya Beach Street Mbezi Beach
Huyu jamaa yako nilimtafutaga, akanambia nitumie location whatsapp, nikamtumia mpaka leo kakaa kimya hakuna feedback yoyotee.Pole sana kwa changamoto hiyo, unaweza kuwasilian ana Installer huyu 0655858588 atafuka mpaka hapo ulipo kwa ajili ya kukufikishia huduma ya Fiber.
#RudiNyumbaniKumenoga
Wewe unapatikana wapi mkuu?Huyu jamaa yako nilimtafutaga, akanambia nitumie location whatsapp, nikamtumia mpaka leo kakaa kimya hakuna feedback yoyotee.
View attachment 2356454
Kibamba mkuu....Wewe unapatikana wapi mkuu?
Upo chini ya kiwango mkuu, salio linaluhusiwa kuanzia Tsh 100 na kuendelea, isizidi 1,000,000Kwanini nikitaka kuongeza salio la shilingi 1 kwenye simu inakataa wakati shilingi 1 nayo ni pesa?