TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Haya majinu yenu haya yatawakosti

IMG_3455.jpg
 
Mtandao wa massage za kuuliza Salio za vifurushi haziruddi Kwa muda hili limekia tatizo kwangu Kwa muda Sasa yangu nianze kutumia ttcl unauliza Salio la kifurushi lakini mrejesho unachelewa au unakuja lakini unakuja aidha wakitambo Sana au unachelewa Sana ni mara chache unafika Kwa muda Niko mwanza nyasaka
 
Hamia burundi babu umealzimishwa kutumia huu mtandao
 
Nimejiandikisha toka aug 1 2022 kupata internet ya fiber lakini mpaka leo sijapata mawasiliano yeyote
Niko maeneo ya Beach Street Mbezi Beach
Pole sana kwa changamoto hiyo, unaweza kuwasilian ana Installer huyu 0655858588 atafuka mpaka hapo ulipo kwa ajili ya kukufikishia huduma ya Fiber.

#RudiNyumbaniKumenoga
 
Huyu jamaa yako nilimtafutaga, akanambia nitumie location whatsapp, nikamtumia mpaka leo kakaa kimya hakuna feedback yoyotee.

IMG_20220914_123840.jpg
 
Back
Top Bottom