Godee jr
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 1,910
- 2,714
Mlikuja vizuri, mkatufungia router ndani, mkachukua details zetu na mkatutumia control number tukalipia 55,000.
Cha kusikitisha tangu tulipie mwaka jana mwezi wa 8 hadi leo huduma haijawahi kupatikana. Tukiuliza tunajibiwa kuwa Power hakuna kwani wateja wamejaa.
Tafadhali sana turudishieni pesa zetu na mje mchukue router zenu. Hakuna mtu anataka kukaa na vifaa ambavyo havifanyi kazi ndani kwake