wanakula mishahara ya bule.Hili Shirka linafeli pakubwa.Hawa TTCL si sawa tu na TBC, TRA, TRC, TCRA sasa kimewapata nini mboni hawaendelei wamegota hapo na wanalipwa mishahara kabisa?
TTCL ni kitambo sana tangu enzi hizo simu ilikua kwa call box (nishapiga sana) ambazo sasa hivi hazipo tena (wameziondoa) sielewi imekuaje wamegota hapo wakati wenzao wanajaribu kujitanua kuendana na Teknolojia TTCL na TANESCO wanatofauti gani wenyewe wameishia hapohapo nilitegemea wao ndio wangekua wanaongoza kuliko mitandao mingine ila wamebakia nyuma kwenye kila kituMna uhakika walikuwa ttcl? Maana hii nchi ilipofikia unaweza kuchezea za uso hadi ushangae.
kwa sasa wana package nyingi ikiwemo ya 70000, ambayo unapata internrt kwa fiber 20mbs, dakika za simu ya mezani (hii simu inaunganishwa kwenye fiber pale) na mbs kwenye laini moja ya ttcl --- router na simu ya mezani unapewa bure wewe ni kulipa kifurushiTTCL ni kitambo sana tangu enzi hizo simu ilikua kwa call box (nishapiga sana) ambazo sasa hivi hazipo tena (wameziondoa) sielewi imekuaje wamegota hapo wakati wenzao wanajaribu kujitanua kuendana na Teknolojia TTCL na TANESCO wanatofauti gani wenyewe wameishia hapohapo nilitegemea wao ndio wangekua wanaongoza kuliko mitandao mingine ila wamebakia nyuma kwenye kila kitu
kwahiyo toka mlivolipa kifurushi mara ya kwanza hamkulipa tena sio? na mkifatilia mnapewa ahadi gani? na kwa huo wingi wenu mbona mlitakiwa muwe mshatatua tatizo mapemaNishapiga simu sana mkuu. Hakuna msaada. Yaani nyumba zaidi ya 50 tumefungiwa haya madude yao lakini hatuna huduma
Km ni hivyo inakuaje mdau analalamika kwamba jambo lake lina mwaka sasa na halijatatuliwa? Inakuingia akilini?kwa sasa wana package nyingi ikiwemo ya 70000, ambayo unapata internrt kwa fiber 20mbs, dakika za simu ya mezani (hii simu inaunganishwa kwenye fiber pale) na mbs kwenye laini moja ya ttcl --- router na simu ya mezani unapewa bure wewe ni kulipa kifurushi
View: https://www.instagram.com/ttcl_corporation/p/DUdWH5rDf41/
Nakubaliana na wewe kabisa. Tatizo ni ufuatiliaji wao. Haiwezekani watumie nguvu na pesa nyingi kuja kufunga miundombinu yao alafu wakwame kwenye sehemu moja tu ya kuwasha ili tupate huduma.kwa sasa wana package nyingi ikiwemo ya 70000, ambayo unapata internrt kwa fiber 20mbs, dakika za simu ya mezani (hii simu inaunganishwa kwenye fiber pale) na mbs kwenye laini moja ya ttcl --- router na simu ya mezani unapewa bure wewe ni kulipa kifurushi
View: https://www.instagram.com/ttcl_corporation/p/DUdWH5rDf41/
binafsi haiingii akilini, maana kama anasema kitaa wapo kama 50 hivi na wameshafungiwa router --- hapa tunategemea huduma ya kiwangoi kutoka ttcl , maana wakiwa bado hawajafunga ndo changamoto iola wakishafunga hata malalamiko ya watu wanavoilalamikia ttcl unaweza ukawa unaona wanaongopa --- hii ndo experience yanguKm ni hivyo inakuaje mdau analalamika kwamba jambo lake lina mwaka sasa na halijatatuliwa? Inakuingia akilini?
Fiber si unaijua vizuri lakini?Nakubaliana na wewe kabisa. Tatizo ni ufuatiliaji wao. Haiwezekani watumie nguvu na pesa nyingi kuja kufunga miundombinu yao alafu wakwame kwenye sehemu moja tu ya kuwasha ili tupate huduma.
Yaani kama vile wewe ujue kabisa kuwa huduma yako inaishia Manzense alafu wewe uendelee kuwafungia watu wa Kagera mpaka Magomeni na wote hao ukawatumia control number walipie
mkuu hapo emu fanya kitu kimoja, ni kupambana nao tu we lalamika , foka kwelikweli wiki mbili hawamalizi haoNakubaliana na wewe kabisa. Tatizo ni ufuatiliaji wao. Haiwezekani watumie nguvu na pesa nyingi kuja kufunga miundombinu yao alafu wakwame kwenye sehemu moja tu ya kuwasha ili tupate huduma.
Yaani kama vile wewe ujue kabisa kuwa huduma yako inaishia Manzense alafu wewe uendelee kuwafungia watu wa Kagera mpaka Magomeni na wote hao ukawatumia control number walipie
Kwa hio wamefunga au hawajafunga?binafsi haiingii akilini, maana kama anasema kitaa wapo kama 50 hivi na wameshafungiwa router --- hapa tunategemea huduma ya kiwangoi kutoka ttcl , maana wakiwa bado hawajafunga ndo changamoto iola wakishafunga hata malalamiko ya watu wanavoilalamikia ttcl unaweza ukawa unaona wanaongopa --- hii ndo experience yangu
Akawafokee wapi sasa mpe uelekeomkuu hapo emu fanya kitu kimoja, ni kupambana nao tu we lalamika , foka kwelikweli wiki mbili hawamalizi hao
kufunga wapi mkuu?Kwa hio wamefunga au hawajafunga?