KERO TTCL Fiber Kimara Temboni tumedhulumiwa pesa zetu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Mkuu, Bado hujafanikiwa kufungiwa nikupe namba yao
 
Duh mie nilitaka niweke kesho basi nimeghairi
 
Na hii ndio kampuni inasema imepata faida sijui ya bilioni ngapi zile wakati tunajua TTCL ni kimeo kwenye huduma za mawasiliano...

Hiyo faida labda kama imetokea upande wa mkongo wa taifa kwa sababu ya capacity leasing...

Huku kwenye FBB na MBB, hii kampuni ya kizalendo ni bire kabisa maana huwezi kuoata hiyo revenue wakati ni MNO inaayoburuza mkia kwenye number of subs (active subs)...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…