buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 4,678
- 11,357
- Thread starter
- #21
Nipo hapa Ubungo Kinesi.TTCL kama unaishi eneo ambalo miundombinu ya fiber imepita...
Unlimited internet huwa inakuwa hivi mara nyingi... Unapewa kiasi fulani cha data with maximum throughput, kile kiasi kikishakwisha basi unakuwa allocated kwenye speed ndogo
Kesho nawacheki vizuri.